Mt. Elizabeth wa Hungaria
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 5:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 149:1-6, 9Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya,
Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani
Na walisifu jina lake kwa kucheza,
Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake,
Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani
Watauwa na waushangilie utukufu,
Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Aleluya.
K. Ulitufanya kuwa wafalme na makuhani
Injili
Lk 19:41-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni