Jumatano ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 4:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 150Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu wa Mwenyezi
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Msifuni kwa matendo yake makuu;
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
K. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu wa Mwenyezi
Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
K. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu wa Mwenyezi
Msifuni kwa matoazi yaliayo;
Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Aleluya.
K. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu wa Mwenyezi
Shangilio la Injili
Yn. 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Lk 19:11-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni