Dominika ya 3 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 61:1-2, 10-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Lk 1:46-50Nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu.
Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
Na roho yangu imemfurahi Mungu, Mwokozi wangu;
Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake.
Kwa maana, tazama, toka sasa
Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
K. Nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu.
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu,
Na jina lake ni takatifu.
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi
Kwa hao wanaomcha.
K. Nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu.
Wenye njaa amewashibisha mema,
Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Amemsaidia Israeli, mtumishi wake;
Ili kukumbuka rehema zake.
K. Nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu.
Somo la Pili
1Thes 5:16-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 4:18Roho wa Bwana yu juu yangu, Amenituma kuwahubiri maskini habari njema;
Aleluya
Injili
Yh 1:6-8, 19-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni