Jumamosi ya 2 ya Majilio
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Ybs 48:1-4,9-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 80: 1-2, 14-15, 17-18Ee Bwana Mungu wetu, uturudishe, Utuangazishe uso wako, nasi tutaokoka.
Wewe uchungaye Israeli, usikie,
Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Uziamshe nguvu zako.
K. Ee Bwana Mungu wetu, uturudishe, Utuangazishe uso wako, nasi tutaokoka.
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi,
Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kuume;
Na tawi lile ulilolifanya Kuwa imara kwa nafsi yako.
K. Ee Bwana Mungu wetu, uturudishe, Utuangazishe uso wako, nasi tutaokoka.
Mkono wako na uwe juu yake Mtu wa mkono wako wa kuume;
Juu ya mwanadamu uliyemfanya Kuwa imara kwa nafsi yako;
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma;
Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
K. Ee Bwana Mungu wetu, uturudishe, Utuangazishe uso wako, nasi tutaokoka.
Shangilio la Injili
Lk. 3:4,6Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake,
Na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu,
Aleluya.
Injili
Mt 17:10-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni