Alhamisi ya 26 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Neh 8:1-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7-10Amri ya Bwana huufurahisha moyo.
Sheria ya Bwana ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini,
Humtia mjinga hekima.
K. Amri ya Bwana huufurahisha moyo.
Maagizo ya Bwana ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
Amri ya Bwana ni safi,
Huyatia macho nuru.
K. Amri ya Bwana huufurahisha moyo.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu,
Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli,
Zina haki kabisa.
K. Amri ya Bwana huufurahisha moyo.
Ni za kutamanika kuliko dhahabu,
Kuliko wingi wa dhahabu safi.
Nazo ni tamu kuliko asali,
Kuliko sega la asali.
K. Amri ya Bwana huufurahisha moyo.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Lk 10:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni