Kumbukumbu ya Mt. Fransisko wa Assisi
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Neh 2:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 137:1-6Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa ka kinywa changu, nisipokukumbuka.
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi,
Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Katika miti iliyo katikati yake Tulivitundika vinubi vyetu.
K. Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa ka kinywa changu, nisipokukumbuka.
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie;
Na waliotuonea walitaka furaha;
Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
K. Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa ka kinywa changu, nisipokukumbuka.
Tuuimbeje wimbo wa Bwana Katika nchi ya ugeni?
Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe,
Mkono wangu wa kuume na usahau.
K. Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa ka kinywa changu, nisipokukumbuka.
Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu,nisipokukumbuka.
Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
K. Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa ka kinywa changu, nisipokukumbuka.
Injili
Lk 9:57-62Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni