Dominika ya 20 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 56:1, 6-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2, 4-5, 7Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Mungu na atufadhili na kutubariki,
na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
mataifa na washangilia,
naam, waimbe kwa furaha.
Maana kwa haki utawahukumu watu,
na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
watu na wakushukuru, Ee Mungu,
watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
Somo la Pili
Rum 11:13-15, 29-32Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mdo 16:14Fungua mioyo yetu, Ee Bwana,
Ili tuyatuze maneno ya Mwanao.
Aleluya
Injili
Mt 15:21-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni