Jumatano ya 17 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 34:29-35Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 99:5-7,9Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu,
sujuduni penye kiti cha miguu yake, ndiye mtakatifu.
K. Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Musa na Haruni miongoni mwa makuhani wake,
na Samweli miongoni mwao waliitiao jina lake,
walipomwita Bwana aliwaitikia.
K. Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Katika nguzo ya wingu alikuwa akisema nao.
Walishika shuhuda zake na amri aliyowapa.
K. Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu,
sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu,
maana Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
K. Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu.
Shangilio la Injili
Yak 1:18Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Mt 13:44-46Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni