Jumatano ya 14 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 41 :55-57; 42 :5-7, 17-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33: 1-2, 10-11, 18-19Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja Wewe.
Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki,
kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Mshukuruni Bwana kwa kinubi,
Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
K. Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja Wewe.
Bwana huyabatilisha mashauri ya mataifa,
huyatangua makusudi ya watu.
Shauri la Bwana lasimama milele,
makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
K. Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja Wewe.
Tazama jicho la Bwana li kwa wamchao
Wazingojeao fadhili zake.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti
na kuwahuisha wakati wa njaa.
K. Ee Bwana fadhili zako zikae nasi, kama vile tulivyokungoja Wewe.
Shangilio la Injili
Kol 3 : 16,17Neno la Kristo Tikae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkishukuru Mungu Baba kwa Yeye.
Aleluya.
Injili
Mt 10:1-7Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni