Jumanne ya 14 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa. 32:23-33Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 17:1-3, 6-8, 15Nikutazame uso wako katika haki.
Ee Bwana, usikie haki, ukisikilize kilio changu,
Utege sikio lako kwa maombi yangu,
Yasiyotoka katika midomo ya hila.
K. Nikutazame uso wako katika haki.
Hukumu yangu na itoke kwako,
Macho yako na yatazame mambo ya adili.
Umenijaribu moyo wangu, umenijilia usiku,
Umenihakikisha usione neno;
Nimenuia kinywa changu kisikose.
K. Nikutazame uso wako katika haki.
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika,
Utege sikio lako ulisikie neno langu.
Dhihirisha fadhili zako za ajabu,
Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia;
Kwa mkono wako wa kuume
Uwaokoe nao wanaowaondokea.
K. Nikutazame uso wako katika haki.
Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako;
mimi nikutazame uso wako katika haki,
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
K. Nikutazame uso wako katika haki.
Shangilio la Injili
Yn 10 : 27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Mt 9:32-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni