Jumanne ya 12 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 13 : 2, 5-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 15:1-5Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako?
Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako?
Ni mtu aendaye kwa ukamilifu na kutcnda haki
asemaye kweli kwa moyo wake.
K. Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako?
Asiyesingizia kwa ulimi wake,
Wala hakumtenda mwenziwe mabaya,
Wala hakumsengenya jirani yake.
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa.
Bali huwaheshimu wamchao Bwana.
K. Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako?
Hakutoa fedha yake apatc kula riba,
Hakutwaa rushwa amwangamize asiye na hatia.
Mtu atendaye mambo hayo
Hataondoshwa milele.
K. Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako?
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Mt 7:6,12-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni