Jumatano ya 11 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 9:6-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 112:1-4, 9Heri mtu yule amchaye Bwana
Heri mtu yule amchaye Bwana,
Apendezwaye sana na maagizo yake.
Wazao wake watakuwa hodari duniani;
Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana
Nyumbani mwake mna utajiri na mali,
Na haki yake yakaa milele.
Nuru huwazukia wenye adili gizani;
Ana fadhili na huruma na haki.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana
Amekirimu, na kuwapa maskini,
Haki yake yakaa milele,
Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana
Shangilio la Injili
Yak. 1:18Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Mt 6:1-6, 16-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni