Ijumaa ya 8 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 44:1, 9-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 149:1b-2, 3-4, 5-6, 9bBwana awaridhia watu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Aleluya.
K. Bwana awaridhia watu wake.
Injili
Mk 11:11-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni