Alhamisi ya 8 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 42: 15-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33: 2-9Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika.
Mshukuruni Bwana kwa kinubi, kwa kinanda cha nyuzi kumi wmimbieni sifa.
Mwimbieni wimbo mpya, pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
K. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika.
Kwa kuwa neno la Bwana lina adili,
na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Huzipenda haki na hukumu,
Nchi imejaa fadhili za Bwana.
K. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika.
Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika,
na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.
Hukusanya maji ya bahari chungu chungu,
Huviweka vilindi katika ghala.
K. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika.
Nchi yote na imwogope Bwana, wote wakaao duniani na wamche.
Maana yeye alisema, ikawa; nay eye aliamuru, ikasimama.
K. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika.
Injili
Mk 10: 46-52Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni