Jumatatu ya 5 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 14:5-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 115:1-4, 15-16Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako.
Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi,
Bali ulitukuze jina lako.
Kwa ajili ya fadhili zako,
Kwa ajili ya uaminifu wako.
Kwa nini mataifa kusema,
Yuko wapi Mungu wao?
K. Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako.
Lakini Mungu wctu yuko mbinguni,
Alitakalo lote amelitenda.
Sanamu zao ni fedha na dhahabu,
Kazi ya mikono ya wanadamu.
K. Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako.
Na mbarikiwe ninyi na Bwana,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
Mbingu ni mbingu za Bwana,
Bali nchi amewapa wanadamu.
K. Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako.
Shangilio la Injili
Kol 3:1Mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Yn 14:21-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni