Alhamisi ya 4 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 13:13-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:1-2, 20-21, 26-27Fadhili zako, ee Bwana nitaziimba milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Fadhili zako, ee Bwana nitaziimba milele.
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu,
Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Ambaye mkono wangu utakuwa thabiti kwake,
Na mkono wangu utamtia nguvu.
K. Fadhili zako, ee Bwana nitaziimba milele.
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,
Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza,
Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.
K. Fadhili zako, ee Bwana nitaziimba milele.
Shangilio la Injili
Yn. 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, wao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Yn 13:16-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni