Sikukuu ya Mitume Filipo na Yakobo, Mitume
· Mwaka A
Somo la Kwanza
1Kor 15:1–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:1–4Sauti yao imeenea duniani mwote.
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu,
Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Mchana husemezana na mchana,
Usiku hutolea usiku maarifa. (K)
K. Sauti yao imeenea duniani mwote.
Hakuna lugha wala maneno,
Sauti yao haisikilikani.
Sauti yao imeenea duniani mwote,
Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.
Katika hizo ameliwekea jua hema. (K)
K. Sauti yao imeenea duniani mwote.
Shangilio la Injili
Yn. 14:6, 9Mimi ndimi njia, na kweli na uzima, asema Bwana, Filipo, aliyeniona mimi, amemweona Baba.
Aleluya.
Injili
Yn 14:8–14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni