Jumatatu ya 1 ya Majilio
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-4, 8, 9Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Nalifurahi waliponiambia,
Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama
Ndnai ya malango yako, Ee Yerusalemu.
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa
Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila,
Kabila za Bwana.
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu
Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu,
Nikutafutie mema.
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 80:4Ee Bwana, Mungu wa majeshi, hata lini? Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?
Aleluya.
Injili
Mt 8:5-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni