SIKUKUU YA WATAKATIFU MIKAELI, GABRIELI NA RAFAE
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Dan. 7:9-10,13-14Nikaona katika njozi za usiku, na tazama mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye. Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele ambayo haitapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 138:1-5Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu.
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako,
Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru,
Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Naam, wataziimba njia za Bwana,
Kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Shangilio la Injili
Zab. 105:3Mhimidini Bwana, enyi majeshi yake yote,
ninyi watumishi wake mfanyao mapenzi yake.
Aleluya.
Injili
Yn. 1:47-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni