Dominika ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Mak 7:1-2, 9-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 17:1, 5-6, 8, 15Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako.
Ee Bwana, usikie haki, ukisikilize kilio changu,
Utege sikio lako kwa maombi yangu,
Yasiyotoka katika midomo ya hila.
K. Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako.
Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako,
Hatua zangu hazikuondoshwa.
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika,
Utege sikio lako ulisikie neno langu.
K. Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako.
Unilinde kama mboni ya jicho,
Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako;
K. Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako.
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki,
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
K. Ee Bwana niamkapo nitashibishwa kwa sura yako.
Somo la Pili
2 The 2:16-3:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:12,14Naye neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
Aleluya
Injili
Lk 20:27-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
James John · 6 Novemba 2022
Somo hili pamoja na injili, iende ikabadili maisha Yako Leo na ukaishi katika ukristu umfaao mwenyezi mungu. Amina.
Linet Ngundo · 6 Novemba 2022
Amina