Jumamosi ya 31 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Fil 4:10-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 112:1-2, 5-6, 8, 9Heri mtu yule amchaye Bwana.
Aleluya. Heri mtu yule amchaye Bwana,
Apendezwaye sana na maagizo yake.
Wazao wake watakuwa hodari duniani;
Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Heri atendaye fadhili na kukopesha;
Atengenezaye mambo yake kwa haki.
Kwa maana hataondoshwa kamwe;
Mwenye haki atakumbukwa milele.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Moyo wake umethibitika hataogopa,
Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Amekirimu, na kuwapa maskini,
Haki yake yakaa milele,
Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
K. Heri mtu yule amchaye Bwana.
Shangilio la Injili
Yn. 13:13Bwana anasema: Siwaiti tena watumwa, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Lk 16:9-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni