Dominika ya 30 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 35:12-14,16-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1-2, 16-18, 22Maskini huyu aliita Bwana akasikia
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Maskini huyu aliita Bwana akasikia
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya,
Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Walilia, naye Bwana akasikia,
Akawaponya na taabu zao zote.
K. Maskini huyu aliita Bwana akasikia
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake,
Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
K. Maskini huyu aliita Bwana akasikia
Somo la Pili
2 Tim 4:6-8, 16-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana, Yeye anifuataye atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya
Injili
Lk 18:9-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni