Jumatatu ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2The 1:1-5, 11-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:1-5Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake,
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake
Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake
Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana. Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Maana miungu yote ya watu si kitu, Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya
Injili
Mt 23:13-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni