Dominika ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 66:18-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 117Enendeni ulimwenguni mwote, Mkaihubiri Injili.
Aleluya.
Enyi mataifa yote, msifuni Bwana,
Enyi watu wote, mhimidini.
K. Enendeni ulimwenguni mwote, Mkaihubiri Injili.
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu,
Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.
K. Enendeni ulimwenguni mwote, Mkaihubiri Injili.
Somo la Pili
Ebr 12:5-7, 11-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Maneno yako ndiyo kweli Ee Bwana, Utatukase sisi kwa ile kweli.
Aleluya
Injili
Lk 13:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Boniventure John · 21 Agosti 2022
Enendeni kwa mataifa mkaihubiri injili
Daniel Ombay · 21 Agosti 2022
Tutafute ufalme wa mbinguni na tuweze kuamini urejeo wa Bwana wetu yesu kristo, Maana wale waliokoka ndo watauona ufalme na utukufu wa mungu