Jumanne ya 13 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amo 3:1–8; 4:11–12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 5:4–7Bwana uniongoze kwa haki yako.
Huwi Mungu apendezwaye na ubaya;
Mtu mwovu hatakaa kwako;
Wajivunao hawatasimama mbele za macho yako.
(K)Bwana uniongoze kwa haki yako.
Unawachukia wote watendao ubatili.
Utawaharibu wasemao uongo;
Bwana humzira mwuaji na mwenye hila.
K. Bwana uniongoze kwa haki yako.
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako,
Nitaingia nyumbani mwako;
Na kusujudu kwa kicho,
Nikilielekea hekalu lako takatifu.
K. Bwana uniongoze kwa haki yako.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Bwana anasema, Siwaiti tena watumwa, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mt 8:23-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni