Dominika ya 13 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 19:16b. 19-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 16:1-2, 5, 7-11Bwana ndiye fungu la posho langu.
Mungu, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu;
Bwana ndiye fungu la posho langu.
Na la kikombe changu;
Wewe unaishika kura yangu.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri,
Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Nimemweka Bwana mbele yangu daima,
Kwa kuwa yako kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Na utukufu wangu unashangilia,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu,
Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Utanijulisha njia ya uzima;
Mbele za uso wako ziko furaha tele
Na katika mkono wako wa kuume
Mna mema ya milele.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu.
Somo la Pili
Gal 5:1,13-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, ee Bwana; Ututakase sisi kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Lk 9:51-62Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni