Jumatatu ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Dan 9:4–10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 79:8–9, 11, 13Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana.
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu,
Rehema zako zije kutulaki hima,
Kwa maana tumedhilika sana.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana.
Ee Mungu wokovu wetu utusaidie.
Kwa ajili ya utukufu wa jina lako.
Utuokoe, utughofiri dhambi zetu,
Kwa ajili ya jina lako.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana.
Kuugua kwake aliyefungwa na kuingia mbele zako.
Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako.
Uwahifadhi wana wa mauti.
Na sisi tulio watu wako, na kondoo za malisho yako,
Tutakushukuru milele;
Tutazisimulia sifa zako kizazi kwa kizazi.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Injili
Lk 6:36:38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Eric Wachira · 14 Machi 2022
Kazi nzuri Mungu akubariki