Dominika ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 15:5-12, 17-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1,7-9, 13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Ee Bwana, usikie kwa sauti yangu ninalia,
Unifadhili, unijibu.
Moyo wangu umekuambia,
Bwana uso wako nitautafuta.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Usinifiche uso wako,
Usijiepushe na mtumishi wako kwa hasira.
Umekuwa msaada wangu, usinitupe,
Wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana
Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Somo la Pili
Flp 3:17-4:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 17:5Injili
Lk 9:28b-36Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
CHERLY MOYO · 13 Machi 2022
Tumsifu Yesu Kristo, Ingewezekana tukapata Group la whatsapp kwaajili ya kupeana taarifa kuhusu masomo ya wiki na mambo mengine.
Leo Barasa · 14 Machi 2022
Nahitaji masomo ya mwaka mzima