Sikukuu ya Ukulu wa Mt.Petro
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1Pet 5:1-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23:1-6Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu;
K. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Shangilio la Injili
Mt 16:18Injili
Mt 16:13-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni