Alhamisi ya 31 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 14:7-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Naamini ya kuwa nitamuona wema wa Bwana.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
K. Naamini ya kuwa nitamuona wema wa Bwana.
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana,
Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri wa Bwana,
Na kutafakari hekaluni mwake.
K. Naamini ya kuwa nitamuona wema wa Bwana.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Naamini ya kuwa nitamuona wema wa Bwana.
Injili
Lk 15:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 4 Novemba 2021
Milele....Amina...Tumshukuru..Mungu.