Jumatano ya 31 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 13:8-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 112:1-2,4-5,9Heri atendaye fadhili na kukopesha.
Aleluya,
Heri mtu yule amchaye Bwana,
Apendezwaye sana na maagizo yake.
Wazao wake watakuwa hodari duniani;
Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
K. Heri atendaye fadhili na kukopesha.
Nuru huwazukia wenye adili gizani;
Ana fadhili na huruma na haki.
Heri atendaye fadhili na kukopesha;
Atengenezaye mambo yake kwa haki.
K. Heri atendaye fadhili na kukopesha.
Amekirimu, na kuwapa maskini,
Haki yake yakaa milele,
Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
K. Heri atendaye fadhili na kukopesha.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu nan chi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Lk 14:25-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Roselyne Achieng · 4 Novemba 2021
Sifa kwako ee kristo
Roselyne Achieng · 4 Novemba 2021
Sifa kwako ee kristo