Jumatatu ya 28 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 1:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Bwana ameufunua wokovu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Bwana ameufunua wokovu wake.
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Bwana ameufunua wokovu wake.
Miisho yote ya dunia imeuona,
Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameufunua wokovu wake.
Shangilio la Injili
Zab 119:34Unifahamishe name nitaishika sheria yako, nitaitii kwa moyo wangu wote.
Aleluya.
Injili
Lk 11:29-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Betram Mushi · 11 Oktoba 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.
Walter Mahuwi · 11 Oktoba 2021
Tumshukuru Mungu kwa ajili ya chakula cha Roho