Dominika ya 28 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 7:7-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 90:12-17Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi.
Utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.
Ee, Bwana, urudi, hata lini?
Uwahurumie watumishi wako.
K. Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi.
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
Nasi, tutashangilia kwa kadiri ya siku ulizotutesa,
Kama miaka ile tuliyoona mabaya.
K. Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi.
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako,
Na adhama yako kwa watoto wao.
Na uzuri wa Bwana, Mungu wetu, uwe juu yetu,
Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe.
K. Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi.
Somo la Pili
Ebr 4:12-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mdo 16:14Fungua mioyo yetu, ee Bwana, ili tuyatunze maneno ya Mwanao,
Aleluya.
Injili
Mk 10:17-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni