Alhamisi ya 27 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mal 3:13-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 1:1-4, 6Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake.
Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake.
Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake.
Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake.
Shangilio la Injili
ShangilioPokeeni kwa upole neno la Mungu, lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Aleluya.
Injili
Lk 11:5-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni