Jumatano ya 27 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yon 4:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 86:3-6, 9-10Wewe Bwana, u Mungu wa rehema na neema.
Wewe, Bwana, unifadhili,
Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.
Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako,
Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana.
K. Wewe Bwana, u Mungu wa rehema na neema.
Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema,
Umekuwa tayari kusamehe.
Na mwingi wa fadhili,
Kwa watu wote wakuitao.
Ee Bwana, uyasikie maombi yangu;
Uisikilize sauti ya dua zangu.
K. Wewe Bwana, u Mungu wa rehema na neema.
Mataifa yote uliwafanya watakuja;
Watakusujudia Wewe, Bwana.
Watalitukuza jina lako;
Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu.
Wewe ndiwe mfanya miujiza,
Ndiwe Mungu peke yako.
K. Wewe Bwana, u Mungu wa rehema na neema.
Shangilio la Injili
Ebr 4:12Neno la Mungu li hai tena li na nguvu, li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Aleluya.
Injili
Lk 11:1 – 4Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni