Dominika ya 26 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hes 11:25-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7,9,11-13,Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo.
Sharia ya Bwana ni kamilifu,
Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini,
Humtia mjinga hekima.
K. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu,
Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli,
Zina haki kabisa.
K. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo.
Tena mtumishi wako huonywa kwazo,
Katika kuzishika kuna thawabu nyingi.
Ni nani awezaye kuyatambua makossa yake?
Unitakase na mambo ya siri.
K. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo.
Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi,
Yasinitawale mimi.
Ndipo nitakapokuwa kamili,
Nami nitakuwa safi, bila kosa lililo kubwa.
K. Maagizo ya Bwana ni ya adili, huufurahisha moyo.
Somo la Pili
Yak 5:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, asema Bwana; Nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Mk 9:38-43,45,47-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni