Jumamosi ya 25 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Zek 2:1-5, 10-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Yer 31:10-13Bwana atatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Lisikieni neno la Bwana, enyi mataifa,
Litangazeni visiwani mbali, mkaseme,
Aliyemtawanya Israeli atamkusanya,
Na kumlinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
K. Bwana atatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Kwa maana Bwana amemweka huru Yakobo,
Amemkomboa mkononi mwake
aliyekuwa hodari kuliko yeye.
K. Bwana atatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
nao watakuja, na kuimba katika mlima Sayuni,
wataukimbilia wema wa Bwana,
nafaka, na divai, na mafuta,
na wachanga wa kondoo na wa ng’ombe.
Na roho zao zitakuwa kama bustani iliyotiwa maji,
Wala hawatahuzunika tena kabisa.
K. Bwana atatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Ndipo bikira atafurahi katika kucheza,
Na vijana na wazee pamoja.
Maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha,
Nami nitawafariji, na kuwafurahisha waache huzuni zao.
K. Bwana atatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Shangilio la Injili
Zab 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Lk 9:43–45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 25 Septemba 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.