Dominika ya 24 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 50:5-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 116:1-6, 8-9Nitaenenda mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.
Aleluya,
Nampenda Bwana kwa kuwa ananisikiliza
Sauti yangu na dua zangu.
Kwa maana amenitegea sikio lake,
Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote!
K. Nitaenenda mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.
Kamba za mauti zilinizunguka,
Shida za kuzimu zilinipata.
Niliona taabu na huzuni,
Nikaliitia jina la Bwana;
Ee Bwana, Mungu wangu, uniokoe.
K. Nitaenenda mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.
Bwana ni mwenye neema na haki,
Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema,
Bwana huwalinda wasio na hila,
Nilikuwa taabuni, akaniokoa.
K. Nitaenenda mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.
Maana ameniponya nafsi yangu na mauti,
Macho yangu na machozi,
Na miguu yangu na kuanguka.
Nitaenenda mbele za Bwana
Katika nchi za walio hai.
K. Nitaenenda mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.
Somo la Pili
Yak 2:14-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mdo 16:14Fungua mioyo yetu, Ee Bwana, ili tuyatunze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
Injili
Mk 8:27-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni