Alhamisi ya 21 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 The 3: 7-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 90:3-4, 12-14, 17Utushibishe kwa fadhili zako, tutashangili ana kufurahi.
Wamrudisha mtu mavumbini,
Usemapo, Rudini, enyi wanadamu.
Maana miaka elfu machoni pako
Ni kama siku ya jana ikiisha kupita,
Na kama kesha la usiku.
K. Utushibishe kwa fadhili zako, tutashangili ana kufurahi.
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,
Tujipatie moyo wa hekima.
Ee Bwana, urudi, hata lini?
Uwahurumie watumishi wako.
K. Utushibishe kwa fadhili zako, tutashangili ana kufurahi.
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Na uzuri wa Bwana, Mungu wetu, uwe juu yetu,
Na kazi ya mikono yetu utufanyie thabiti,
Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe.
K. Utushibishe kwa fadhili zako, tutashangili ana kufurahi.
Shangilio la Injili
Yn 14: 5Bwana anasema: Mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
Injili
Mt 24: 42-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 26 Agosti 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.