Jumatano ya 21 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 2:9-13Kwa sababu hiyo sisi nasi twamshukuru Mungubila kukoma, kwa kuwa, mlipopata lile neno la ujumbe la Mungu mlilolisikia kwetu, mlilipokea si kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli: litendalo kazi pia ndani yenu ninyi mnaoamini.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 139: 7-12Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Niende wapi nijiepushe na roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako?
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko,
Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Ningezitwaa mbawa za asubuhi,
Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Huko nako mkono wako utaniongoza,
Na mkono wako wa kuume utanishika.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika,
Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Giza nalo halikufichi kitu,
Bali usiku huangaza kama mehana;
Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Shangilio la Injili
Yn 8: 12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana,
yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe,
bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Mt 23: 27-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni