Jumamosi ya 19 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 18:1-10, 13, 30-32Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:10-13, 16-17Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya
Injili
Mt 19:13-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni