Ijumaa ya 18 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 16:59-63Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Isa 12:2-6Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa;
Maana Bwana Yehova ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Basi, kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu.
(K)Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake;
Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,
Litajeni jina lake kuwa limetukuka.
(K)Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Mwimbieni Bwana; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote.
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
(K)Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Shangilio la Injili
1 The 2:13Mlilipokee si kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli;
Aleluya
Injili
Mt 19:3-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni