Mt. Dominiko, Padre
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 1:2-5, 24-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 148:1-2, 11-14Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu
Haleluya. Msifuni Bwana kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu.
Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu
Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na makadhi wote wa dunia.
Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto;
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu
Na walisifu jina la Bwana, Maana jina lake peke yake limetukuka;
Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu
Naye amewainulia watu wake pembe, Sifa za watauwa wake wote;
Wana wa Israeli, watu walio karibu naye. Haleluya.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu
Shangilio la Injili
2 The 2:14Mungu aliyewaitia ninyi kwa injili yetu, ili kuupata utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo
Aleluya
Injili
Mt 17:22-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni