Jumamosi ya 2 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 6:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:1-2, 4-5, 18-19Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki,
Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Mshukuruni Bwana kwa kinubi,
Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
(K)Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe.
Kwa kuwa neno la Bwana lina adili,
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Huzipenda haki na hukumu,
Nchi imejaa fadhili za Bwana.
(K)Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe.
Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao,
Wazingojeao fadhili zake.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti,
Na kuwahuisha wakati wa njaa.
(K)Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe.
Shangilio la Injili
Yn. 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Yn 6:16-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni