Ijumaa ya 2 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 5:34-42Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana,
Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana
Siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri wa Bwana,
Na kutafakari hekaluni mwake.
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana
Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
(K)Neno moja nimelitaka kwa Bwana, Nikae nyumbani mwa Bwana.
Shangilio la Injili
Kol 3:1Mkiwa mmefufuliwa na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu.
Aleluya.
Injili
Yn 6:1-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni