Jumatatu ya 1 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 1:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 97: 1-2, 6-7, 9Na waaibishwe wote waabuduo sanamu
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie,
Visiwa vingi na vifurahi.
Mawingu na giza vyamzunguka,
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
K. Na waaibishwe wote waabuduo sanamu
Mbingu zimetangaza haki yake,
Na watu wote wameuona utukufu wake.
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu,
Wajivunao kwa vitu visivyofaa;
Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
K. Na waaibishwe wote waabuduo sanamu
Maana Wewe, Bwana, ndiwe Uliye juu,
Juu sana kuliko nchi yote;
Umetukuka sana juu ya miungu yote.
K. Na waaibishwe wote waabuduo sanamu
Injili
Mk 1:14-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni