Jumatano ya Oktava ya Kuzaliwa Bwana
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 2:12-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:7-10Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie
Mpeni Bwana, enyi jamaa za watu,
Mpeni Bwana utukufu na nguvu,
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie
Leteni sadaka mkaziingie nyua zake,
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu,
Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike,
Atawahukumu watu kwa adili.
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie
Shangilio la Injili
ShangilioSiku takatifu imetung’aria: Enyi mataifa njoni mkamwabudu Bwana: Kwa sababu mwanga mkubwa umeshuka duniani.
Aleluya.
Injili
Lk 2:36-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni