Kumbukumbu ya Mt. Tomas Beket, Askofu na Mfiadini
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 2:3-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:1-3, 5-6Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake,
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie.
Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,
Na watu wote habari za maajabu yake.
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie.
Maana miungu yote ya watu si kitu,
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.
Heshima na adhama ziko mbele zake,
Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake.
K. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie.
Injili
Lk 2:22-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni