Ijumaa ya 2 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 48:17-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 1:1-4,6Akufuataye, Bwana, atakuwa na nuru ya uzima.
Heri mtu yule asiyekwenda,
Katika shauri la wasio haki,
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
K. Akufuataye, Bwana, atakuwa na nuru ya uzima.
Naye atakuwa kama mti uliopandwa,
Kandokando ya vijito vya maji.
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
K. Akufuataye, Bwana, atakuwa na nuru ya uzima.
Sivyo walivyo wasio haki,
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
K. Akufuataye, Bwana, atakuwa na nuru ya uzima.
Shangilio la Injili
ShangilioBwana atakuja, nendeni kumlaki, Yeye ni mfalme wa Amani.
Aleluya.
Injili
Mt 11:16-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni