Kumbukumbu ya Mt. Ambrosi wa Milano, Askofu na Mwa
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 35:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8-13Tazama Mungu wetu atakuja na atatuokoa.
Nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawaambia watu wake Amani.
Naam, na watauwa wake pia,
Bali wasiurudie upumbavu tena.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Tazama Mungu wetu atakuja na atatuokoa.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na Amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Tazama Mungu wetu atakuja na atatuokoa.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Tazama Mungu wetu atakuja na atatuokoa.
Shangilio la Injili
ShangilioTazama Mfalme, Bwana wa ulimwengu, Yeye ataiondoa nira ya utumwa wetu.
Aleluya.
Injili
Lk 5:17-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni